Nimeoba chuo mwaka huu, lakini bahati mbaya nimeangukia kozi ambayo sikuipenda kutokana na competition, hivyo mimi binafsi napenda kuacha masomo kwa mwaka huu, ili nipate nafasi yakuja kuomba tena mwakani, Jee kunauwezekano wa kupata tena mkopo?
mr mm mwenyewe na tatizo kama hilo but sijaripot hata chuo kutokana na kufanya wrong choice chuon udom afu nasikia kama deadline y kubadili imepita hata sijui nifanyeje ?mkuu kama umesha fanya regstration na boom umepokea n vigumu kukacha koz vumilia2.
Subiri mwakani ndo uombe chuo na mkopo ikigoma tafuta jinsi ya kujisomesha tu.mwenye uelewa na hii naomba anisaidie nilichaguliwa udom but ni katika wrong choice n mkopo ckupewa nahitaj kuripot chuo udom naweza kubaliwa kubadili programme au nimeshachelewa anayejua anisaidie
poa kwa ushaur but nilikua nauliza kama udom wanaweza nibadilishia programne for this time kabla sijafanya regislation kwan nipo dilema niende au nibak kwan nimechelewa kutokana kujipanga na feesSubiri mwakani ndo uombe chuo na mkopo ikigoma tafuta jinsi ya kujisomesha tu.
thankx mkuu kwa taarifa maana nilikua na wasiwasi sana kesho inabid ueleo uwe dodoma ili nikapate fursa hiyowale wa udom ambao hawana mkopo wamepewa frst priority ya kukubaliwa kubdili koz fika chuoni utapata maelekezo yote.
poa kwa ushaur but nilikua nauliza kama udom wanaweza nibadilishia programne for this time kabla sijafanya regislation kwan nipo dilema niende au nibak kwan nimechelewa kutokana kujipanga na fees