Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya kahawa

chodoo

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
86
Reaction score
33
Nataka kuanzisha biashara ya kununua kahawa kwa wakulima na kuiuza kwenye bodi ya kahawa.

Mwenye uzoefu na biashara hii kuna changamoto zipi ambazo naweza kukumbana nazo? Na je, bado ni biashara inayolipa?
 
hili ndio swali pekee halina majibu humu jf kwa mara ya kwanza naona[emoji26]
 
Ukitaka kuijua biashara usiulize kwani ukweli siri nyingi za faida kwenye biashara hubakia kuwa siri huwezi kzipata mpaka uwe mwanachama hapa utapewa tu ABCD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…