Habari Mimi ni kijana mjasiliamali nataka kuanzisha kiwanda cha kuzalisha Unga (sembe +dona) Dar.
Nilikuwa naomba wazoefu kwenye hii biashara wanipe muongozo kwenye haya.
1. Mashine zipi ni bora ( kusaga, kukoboa na sealing) na ufanis wake ukoje
2. Mahindi ya mkoa gani ni mazuri? Na huwa katika gunia la kilo 100 unapat unga kias gan na pumba kiasi gani?
3. Mchanganuo wa gharam za uendeshaj na faida. (mf labda nikisag tan 10 za mahind , gharam zinakuw kias gan na faida inakuaje)
4. Changamoto zilizopo katika hii biashara.
Natanguliza shukrani.