Ushauri: Nataka kubadili taaluma ya elimu

jeffu

New Member
Joined
Aug 7, 2024
Posts
4
Reaction score
2
Nina degree ya education lakini kwa miaka kadhaa baadae natamani kubadili professional.

Postgraduate diploma ya nini nikasome?
 
Nina degree ya education lakini kwa miaka kadhaa baadae natamani kubadili professional.

Postgraduate diploma ya nini nikasome?
kwani wewe unataka kuwa professional wa kitu gani?
 
Soma procurement and supply chain management hutojutia
 
Soma procurement and supply chain management hutojutia
Hii sio fani ya kusoma kabisa. Usipoteze muda kusoma fani mpya.

Hii fani ni njema kama utaajiriwa serikalini lakini pia kwenye taasisi kubwa zenye tenda kubwa.

Mbaya zaidi kwa sasa haina faida kubwa kwa sababu procurement professional huna maamuzi ya kumpa mtu tenda bali ni evaluation committee.

Achana na procurement
 
Naomba kuuliza kiongozi kwenya maswala ya ajira hasa za serikali hii postgraduate diploma wanaajiriwa? Au nafasi zao zikitoka zinaitwaje?
Soma procurement and supply chain management hutojutia
 
Naomba kuuliza kiongozi kwenya maswala ya ajira hasa za serikali hii postgraduate diploma wanaajiriwa? Au nafasi zao zikitoka zinaitwaje?
 
Unasema una degree lakini huwezi kutofautisha PROFESSION na PROFESSIONAL shame on you.
Nina Imani hiyo degree yako hukuichukulia UDSM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…