USHAURI NATAKA KUCHUKUA SUBARU SJG 2014

USHAURI NATAKA KUCHUKUA SUBARU SJG 2014

Joined
Jul 9, 2017
Posts
56
Reaction score
70
wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi
upatikanaji wa spare ( nipo mbeya)
changamoto zake ni zpi
ulaji wa mafuta
na ipo bora yenye turbo au isiyo na turbo( mizungiko yangu ni ya town tu)
 
Attachments

  • IMG_0251.png
    IMG_0251.png
    1.5 MB · Views: 11
Hakuna haja ya kuuliza mara mbilimbili nunua Tu mkuu, naongea hivi kwasababu Mimi ninayo forester XT ya 2009 ... Subaru ni tamu Sana ukiwa barabarani hasa kwenye performance, stability na power.

Hiyo ndinga ya 2014 iko very advanced kuanzia ndani na nje hasa kwenye technology ya eye sight na android radio
 
Uko sahihi kwa 100%.

Mtu ambaye umeshazoea kuendesha magari ya Ulaya ukija kuendesha Subaru Forester huwezi ona tofauti.
 
Kabisaa mkuu..... engine za Subaru zinafanana Sana BMW, mimi huwa nasema Subaru ni BMW ya kijapan
 
Uzuri wa Subaru Forester inakuja na option ya 6 speed manual gearbox kwa sisi wapenzi wa manual.
Mwakani panapo majaliwa nataka nichukue either Escudo ya mwaka 2012 5 spd standard or Subaru Forester 2014 6 spd. Ila Subaru naipa uzito zaidi.
 
Shukran mkuu nlishachukua sj5 2013
 
Back
Top Bottom