bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Kama kichwa kinavyosema wadau,nimedhamiria kufanya biashara ya kutoa mazao ya samaki wa baharini na kupeleka huko,na week ijayo inanibidi niende kufanya utafiti wa soko huko ila shida yangu ni kwamba sijawahi kufika hiyo nchi,na hata nikifika sijui naanzaje.
Vipi lugha ya mawasiliano hawa Wazambia kiingereza wanakimudu?vipi hali ya utapeli iko kama ya wabongo?
Na kitu gani kingine natakiwa kuwa nacho makini?na zaidi ya yote mtu ambaye ana connection huko tayari angenifanyia mpango na mimi ningefurahi sana.