Ushauri nataka kufungua Biashara ya kuniongezea kipato-Arusha

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
512
Reaction score
398
Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato
mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini
Mnakaribishwa kwa ushauri
 
Hiyo hapana mkuu
Mkuu hiyo biashara ya betting ni uhakika sio lazima wewe ndio ubett ila unaanzisha kutuo unakuwa unabetisha watu

MF; kwa mtaji wa 10m unaenda premier bet unaomba kuwa wakala wao,

Then unapanga ofisi unanunua baadhi ya vifaa km screen na machine then vifaa vingine watakupa wenyewe afu unaanza kubetisha, baada ya hapo mnaanza kugawana faida na wao

Nb; hii biashara lazma uwe eneo lenye watu wengi usifungue ushuani sana kama njiro
 
Asante kwa ushauri
 
Waliyosema wakubwa hapo juu si mbaya. Unaweza toa samaki kanda ya ziwa ukauza chuga hapo. Waweza pia fanya biashara ya maharage ya arusha yana soko zuri dar es salaam
 
Mkuu hiyo biashara ya betting ni uhakika sio lazima wewe ndio ubett ila unaanzisha kutuo unakuwa unabetisha watu

MF; kwa mtaji wa 10m unaenda premier bet unaomba kuwa wakala wao,

Then unapanga ofisi unanunua baadhi ya vifaa km screen na machine then vifaa vingine watakupa wenyewe afu unaanza kubetisha, baada ya hapo mnaanza kugawana faida na wao

Nb; hii biashara lazma uwe eneo lenye watu wengi usifungue ushuani sana kama njiro
Dizain kama idea yako nimeielewa mkuu una patikana wapi au kama unaweza ongez nyama kwwnye maelezo yako
 
bajaj, uangalie maeneo yenye makazi mapya ambako pana umbali kutoka makazi ya watu kufika kupanda daladala. boma bajaj zina wapiga debe, taratibu watu watazoea bajaj kuliko kupanda boda ya buku
 
Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato
mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini
Mnakaribishwa kwa ushauri
wakikupa idea nzuri ya biashara, msimamizi niko hapa
 
Sawa likini vigezo vyangu nawakubali wanaweke(Ladies) compaired na wanaume(Gents) kwa utafiti wangu ni waaminifu na wako commited na kazi
ukifika vigezo hivyo utafikriwa mkuu
 
2015 CCM walisema wanataka spika awe mwanamke, wakamwambia mzee wa standard na speed kama ana vigezo hivyo agombee, atachaguliwa. Mzee alinywea.
Kwa hiyo wewe mzee arachuga umepita kulekule. Akikubali hiyo nijulishe
 
Back
Top Bottom