VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Hiyo hapana mkuuFanya biashara ya betting.
Hiyo ndiyo ya ukweli mkuu kila mwezi una uhakika wa kuingiza million 5 hiyo aina hasara ni faida tu. Maana aina gharama ya usimamizi wala kuajili wafanya kazi we una tulia una kula zako tu castle lite huku mzigo unaingia.Hiyo hapana mkuu
Mkuu hiyo biashara ya betting ni uhakika sio lazima wewe ndio ubett ila unaanzisha kutuo unakuwa unabetisha watuHiyo hapana mkuu
Asante kwa ushauriMkuu hiyo biashara ya betting ni uhakika sio lazima wewe ndio ubett ila unaanzisha kutuo unakuwa unabetisha watu
MF; kwa mtaji wa 10m unaenda premier bet unaomba kuwa wakala wao,
Then unapanga ofisi unanunua baadhi ya vifaa km screen na machine then vifaa vingine watakupa wenyewe afu unaanza kubetisha, baada ya hapo mnaanza kugawana faida na wao
Nb; hii biashara lazma uwe eneo lenye watu wengi usifungue ushuani sana kama njiro
Dizain kama idea yako nimeielewa mkuu una patikana wapi au kama unaweza ongez nyama kwwnye maelezo yakoMkuu hiyo biashara ya betting ni uhakika sio lazima wewe ndio ubett ila unaanzisha kutuo unakuwa unabetisha watu
MF; kwa mtaji wa 10m unaenda premier bet unaomba kuwa wakala wao,
Then unapanga ofisi unanunua baadhi ya vifaa km screen na machine then vifaa vingine watakupa wenyewe afu unaanza kubetisha, baada ya hapo mnaanza kugawana faida na wao
Nb; hii biashara lazma uwe eneo lenye watu wengi usifungue ushuani sana kama njiro
Niongeze nyama angle ipi mkuuDizain kama idea yako nimeielewa mkuu una patikana wapi au kama unaweza ongez nyama kwwnye maelezo yako
wakikupa idea nzuri ya biashara, msimamizi niko hapaNishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato
mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini
Mnakaribishwa kwa ushauri
Sawa likini vigezo vyangu nawakubali wanaweke(Ladies) compaired na wanaume(Gents) kwa utafiti wangu ni waaminifu na wako commited na kaziwakikupa idea nzuri ya biashara, msimamizi niko hapa
2015 CCM walisema wanataka spika awe mwanamke, wakamwambia mzee wa standard na speed kama ana vigezo hivyo agombee, atachaguliwa. Mzee alinywea.Sawa likini vigezo vyangu nawakubali wanaweke(Ladies) compaired na wanaume(Gents) kwa utafiti wangu ni waaminifu na wako commited na kazi
ukifika vigezo hivyo utafikriwa mkuu