Ushauri: Nataka kufungua stationary

Ushauri: Nataka kufungua stationary

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
25,874
Reaction score
36,030
Habari zenu wapendwa!

Nataka nifungue stationary, sasa naomba ushauri wenu hasa wa vifaa na bei zake.

Pamoja na faida zake.

Asante

......
 
Stationer store is all about location, yawe maeneo ya vyuo, shule au eneo lenye ofisi nyingi
Mtaji wako sijui kiasi gani, ila kama una mtaji wa kutosha unaweza ongea na ofisi au shule ukawa unawapekekea bahasha, kalamu, karatasi, wino, printing n.k ili ku beat washindani waliokutangulia
 
Asante sana!

......
 
Habari zenu wapendwa!

Nataka nifungue stationary, sasa naomba ushauri wenu hasa wa vifaa na bei zake.

Pamoja na faida zake.

Asante

......
Ukiwa tayari nitafute nko nå computer Pamoja na lanination machine kæd bei rahis kabisa

sizonjemadawa
 
Usifungue biashara kisa fulani kafungua, utafilisika na kuumia milele
 
Back
Top Bottom