Asante sana!Stationer store is all about location, yawe maeneo ya vyuo, shule au eneo lenye ofisi nyingi
Mtaji wako sijui kiasi gani, ila kama una mtaji wa kutosha unaweza ongea na ofisi au shule ukawa unawapekekea bahasha, kalamu, karatasi, wino, printing n.k ili ku beat washindani waliokutangulia
Ukiwa tayari nitafute nko nå computer Pamoja na lanination machine kæd bei rahis kabisaHabari zenu wapendwa!
Nataka nifungue stationary, sasa naomba ushauri wenu hasa wa vifaa na bei zake.
Pamoja na faida zake.
Asante
......