Ushauri: Nataka kuifungulia bank kesi mahakamani

Ushauri: Nataka kuifungulia bank kesi mahakamani

Sasa mimi nataka nikafungue kesi mahakamani ili wakubali niwalipe kwa installment ya kila mwezi kulingana na kipato changu cha sasa.
Naombeni ushauri
.
Kiongozi, Bila shaka yeyote makubaliano yako na benki yalikuwa kulipa kwa installments. Huo ni mkataba na benki haina uhalali wa kubadili makubaliano (terms) katika mkataba huo pasipo kukushirikisha ili kupata ridhaa yako.

Pia hujasema kama benki wamekupa wito wa maandishi kuhusu kulipa deni kwa mkupuo. Kama wamekuandikia rasmi, wajibu kwanza na uhifadhi kumbukumbu hizo, zina manufaa kwako kwa baadae. Kama hakuna maandishi, sisitiza wakupe ombi lao kwa maandishi.

Sitakushauri kukimbilia mahakamani kwa sasa. Katika misingi ya sheria wewe uko upande salama. Hujavunja mkataba kwa jinsi yeyyote ile na kama ni makato ya kila mwezi katika mshahara wako wao ndio wanao wajibu wa kufuatilia makato hayo.

Kuhusu afisa mikopo, achana nae. Bila shaka anataka hongo au anakutaka kimapenzi, na ndio sababu anakutafuta muonane ana kwa ana, kitu ambacho si utaratibu.
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
najihusisha na ufugaji huu karibuni mpate mazao ya mwalimu mussa wa arusha nafanya kazi kijijini nimeamua kujiwekeza kiivo karibuni sana,0766496263
IMG_20181018_170631.jpg
 
pia natoa mafunzo ya ufugaji huu kwa anayehitaji kwa gharama nafuu kipindi chote cha likizo,.haya ni sehemu ya faida itokanayo na ufugaji huu
IMG_20180324_165447[1].jpg
IMG_20180324_165447[1].jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa wale mnaojua story yangu ya 25m huu ni mwendelezo.

Nawaza kwenda mahakamani kuifungulia kesi bank hii kutokana situation iliyotokea miezi kadhaa iliyopita.

Story iko hivi
Niliwahi kukopa katika bank hii miaka miwili iliyipita hivyo mwaka huu mwanzoni nikawa nahitaji kufanya top up. Niliambiwa kwa mdomo (bila maandishi) na afisa Mikopo kuwa nitapat kiasi cha 2m lakini mkataba niliosaini ulikua umeandikwa kiasi cha 13m na bima itakatwa 1m.

Siku zikaenda baada ya kukamilisha process zote nikawekewa hela kiasi cha 13m na badae kidogo nikaona notification kuwa nimekatwa kiasi cha 1m (bima) hivyo kwenye akaunti ikabaki 12m.

Mimi nikawa na withdraw pesa hizo kidogokidogo kwenye akaunti mpaka baada ya kama wiki mbili yule afisa Mikopo akanipigia na kuniambia natakiwa nirudishe 10.5m na kiukweli sikuwa nayo tena na sijaipata tena mpaka leo.

Sasa huyu afisa Mikopo anani harrase sana ameshakuja kazini bahati mbaya hakunikuta nilikua na excuse days. Pia nasikia ananitafuta kwa udi na uvumba nilipo na hapa nilivyoambiwa na watu wa karibu afisa huyu yupo mkoa fulani ameenda kunitafuta kwani aliambiwa ndipo nipo huko. Hii inaninyima raha kwani naogopa usalama wangu unaweza ukawa hatarini.

Hii bank anataka nilipe kiasi cha tsh 25m kwa wakati mmoja while haikuwa hivyo kwenye mkataba. (25m imekuja baada ya kujumlisha mkopo wa mwanzo na wa sasa)

Pia kwenye mkataba ina state kwamba installment zote zitakuwa zikikatwa moja kwa moja kwenye mshahara wangu lakini cha ajabu waliacha kunikata kwa muda wa miezi mitano hivyo nikawa napokea mshahara mzima. Hii ilinifanya niingie tamaa ya kuchukua mkopo mwingine kwenye bank nyingine kwa sababu niliona hao wa bank ya kwanza nilipochukulia mkopo hawajishughulishi na kwenda kurudisha makato kwenye system licha ya kuwakumbusha kufanya hivyo.

Sasa mimi nataka nikafungue kesi mahakamani ili wakubali niwalipe kwa installment ya kila mwezi kulingana na kipato changu cha sasa.

Naombeni ushauri

Acha utapeli nenda kalipe hela uliyochukua, ulifanya top up ukaambiwa utabak na 2m sasa iweje uchukue hela zote? Unasema baada ya kuona hukatwi kwenye mshahara uliamua kwenda kuchukua mkopo benk nyingine badala ya kutoa taarifa!! Hiv ungekuta hela kwenye acc yako hamna ungeuchuna au ungeenda kudai?

my take nenda katafute jins ya kulipa deni dawa ya den ni kulipa sio kukwepa
 
Kulipa atalipa ila sio kwa mtindo huo. Ni jukumu la benki kutokuwa negligent in the conduct of business. Ela iliyokwenye account ni yako unaweza kuitumia utakavyo until otherwise. Kuhusu kuchukua mkopo mwingine nimsahihi at his peril. Kumbuka akufanya forgery yoyote wakati anaomba mkopo benki ya pili. Benki inapaswa akubali makosa na wafanye renegotiation.
 
Benki inamakosa lakini pia na yeye ana makosa kwenye hili.
 
Back
Top Bottom