Ushauri: Nataka kuifungulia bank kesi mahakamani

Sasa mimi nataka nikafungue kesi mahakamani ili wakubali niwalipe kwa installment ya kila mwezi kulingana na kipato changu cha sasa.
Naombeni ushauri
.
Kiongozi, Bila shaka yeyote makubaliano yako na benki yalikuwa kulipa kwa installments. Huo ni mkataba na benki haina uhalali wa kubadili makubaliano (terms) katika mkataba huo pasipo kukushirikisha ili kupata ridhaa yako.

Pia hujasema kama benki wamekupa wito wa maandishi kuhusu kulipa deni kwa mkupuo. Kama wamekuandikia rasmi, wajibu kwanza na uhifadhi kumbukumbu hizo, zina manufaa kwako kwa baadae. Kama hakuna maandishi, sisitiza wakupe ombi lao kwa maandishi.

Sitakushauri kukimbilia mahakamani kwa sasa. Katika misingi ya sheria wewe uko upande salama. Hujavunja mkataba kwa jinsi yeyyote ile na kama ni makato ya kila mwezi katika mshahara wako wao ndio wanao wajibu wa kufuatilia makato hayo.

Kuhusu afisa mikopo, achana nae. Bila shaka anataka hongo au anakutaka kimapenzi, na ndio sababu anakutafuta muonane ana kwa ana, kitu ambacho si utaratibu.
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
najihusisha na ufugaji huu karibuni mpate mazao ya mwalimu mussa wa arusha nafanya kazi kijijini nimeamua kujiwekeza kiivo karibuni sana,0766496263
 
pia natoa mafunzo ya ufugaji huu kwa anayehitaji kwa gharama nafuu kipindi chote cha likizo,.haya ni sehemu ya faida itokanayo na ufugaji huu
 

Acha utapeli nenda kalipe hela uliyochukua, ulifanya top up ukaambiwa utabak na 2m sasa iweje uchukue hela zote? Unasema baada ya kuona hukatwi kwenye mshahara uliamua kwenda kuchukua mkopo benk nyingine badala ya kutoa taarifa!! Hiv ungekuta hela kwenye acc yako hamna ungeuchuna au ungeenda kudai?

my take nenda katafute jins ya kulipa deni dawa ya den ni kulipa sio kukwepa
 
Kulipa atalipa ila sio kwa mtindo huo. Ni jukumu la benki kutokuwa negligent in the conduct of business. Ela iliyokwenye account ni yako unaweza kuitumia utakavyo until otherwise. Kuhusu kuchukua mkopo mwingine nimsahihi at his peril. Kumbuka akufanya forgery yoyote wakati anaomba mkopo benki ya pili. Benki inapaswa akubali makosa na wafanye renegotiation.
 

Benki inamakosa lakini pia na yeye ana makosa kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…