Ushauri: Nataka kujenga Lodge ya vyumba sita, inaweza kunigharimu kiasi gani?

Ushauri: Nataka kujenga Lodge ya vyumba sita, inaweza kunigharimu kiasi gani?

Aunty_

Member
Joined
Nov 15, 2023
Posts
9
Reaction score
13
Habari Wana JF,

Ninaomba ushauri wenu katika hili, nataka kujenga lodge yenye vyumba sita vyote self, iwe na kitchen ndogo reception na laundry room.

Kwa mahesabu ya haraka haraka unaweza kunigharimu kiasi gani.
 
Habari Wana JF
Ninaomba ushauri wenu katika hili...nataka kujenga lodge yenye vyumba sita vyote self, iwe na kitchen ndogo reception na laundry room. Kwa mahesabu ya haraka haraka unaweza kunigharimu kiasi gani.
Kama million 100+
 
Habari Wana JF,

Ninaomba ushauri wenu katika hili, nataka kujenga lodge yenye vyumba sita vyote self, iwe na kitchen ndogo reception na laundry room.

Kwa mahesabu ya haraka haraka unaweza kunigharimu kiasi gani.
First thing first, answer the below questions:-
What region do you want to build the lodge??
You are planing to build areas with water, mountains or plains?
Have you planned to manage the construction yourself or someone close to you?
 
Najenga hapa dar es salaam maeneo ya bunju na kiwanja ni tambarare. Kuhusu uje zi nasimamia mwenyewe.
 
Ushauri mkubwa ni kwamba build vyumba vikubwa na choo kikubwa na uwe na parking....structure ya building inatokana na ukubwa wa jengo lakin huwa n almost zilezile....lakin finishing yako ndo ina bei kubwa so unatakiwa ujue ivoo
 
Kuna Uzi wa mkuu mmoja humu aliweka ghalama zote ad mwisho utafute utakupa ABC
 
Ningependa kujua pia......lodge vyumba 10 tuuu
 
Back
Top Bottom