stackoverflow
Member
- Jul 10, 2019
- 20
- 15
ASANTE BOSS KWA USHAURI WAKO. Shukran sanaImekaa kama Murano new model... Nissan model nyingi ziko vizuri sana ila zina anasa moja au mbili zinazowatesa wengi... Ulaji wa mafuta na spare kuwa juu
Hivyo chukua lakini kuna hayo niliyotaja hapo yazingatie
Lakini kama ukizingatia kanuni zake utaishi nalo vizuri tu
Pouwa karibuASANTE BOSS KWA USHAURI WAKO. Shukran sana
Pamoja[emoji120][emoji120][emoji120]ASANTE BOSS KWA USHAURI WAKO. Shukran sana
Kweli Boss watu tupo tofaut sana kwangu mi kana sura nzuri kuliko model nyingi za TOYOTAKagari hua kana sura mbaya sana,sijui hata umekapendea nini.
Anyway kipendacho roho,all the best boss.
Kweli Boss watu tupo tofaut sana kwangu mi kana sura nzuri kuliko model nyingi za TOYOTA
Ondoa shaka bossSawa mkuu enjoy.
Kama wese itakuwa ni tatizo, basi chukua mdogo wake anaitwa Juke!NAOMBENI USHAURI JUU YA HII GARI KUANZIA MATATIZO YAKE NA ULAJI WA MAFUTA.
Baadhi ya watu niliowauliza wameniambia hii GARI Haifai inakunywa sana Mafuta je Nisahihi?
ASANTE BOSS.[emoji120][emoji120]Kama wese itakuwa ni tatizo, basi chukua mdogo wake anaitwa Juke!
Uko sahihi kabisa. Ni sawa na Nissan x trail. Ukiwa long safari km 13.5 kwa lita moja ukiwa mjini ujue unatumia zaidi gia kubwa kwa hiyo akili kichwani.Kakudanganya...gari yangu ndogo ya cc 1500 ndiyo napata 14/15 kwa lita moja nikiwa highway..
Hiyo itakuwa 12km kwa L ukiwa highway...
Mishe mishe za mjini itashuka mpaka 8..
Hiyo gari ulaji wake ni sawa na x trail. stackoverflow,