Ushauri: Nataka kupita Mikumi mbugani na BAJAJI

Hako kabajaji life time yake ni kama km 500. Dar - Kyela nadhani si chini ya Km 900. Si katafia njiani?
 
Wewe ukifika Chalinze nunua mananasi ya kutosha ukifika Mikumi ukaona simba wape matunda wale maana ndio kitu wanakosa humo porini then wewe endelea na safari yako.
 
Ungevuta pumzi kidogo wale nyati hawakuwawa wote so bado wana hasira usijichanganye.
 
Mkuu Hivi vipi wakati unapita na pikipiki mrejesho uliuleta
 
Simba Wa Siku hizi hawana noma hata kidogo!wakikuona wanakusogelea mpige selfie! "Ekotite"
 
Unataka kuonja sumu kwa kuilamba? Uhai hauna spare
 
Labda ni aina mpya ya bajaj nimeingia zenye uwezo wa kwenda masafa,Mimi nilisha usafiri na pikipiki aina ya Baja kutoka dar mpaka Arusha nikafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…