Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 483
- 491
Asalam Aleykum wanajukwaa!
Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science).
Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa.
Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya kitaaluma ili kuniongezea maarifa.
Awali nilikua na mpango wa kufanya Masters of educational Management au Masters of business Adminstration, lakini nmeona bora nifanye angalau certificate ya accounting au business studies ili niweze kuongeza business skills hasa financial accounting (sina background ya masomo ya biashara).
Naomba ushauri kwa wazoefu wa masomo ya biashara, je ngazi ya certificate inaweza kunipatia maarifa ya kutosha kusimamia biashara na kuandaa mahesabu ya fedha kwa "small or medium enterprises (SMEs)"?
Lengo ni kuwa na uwezo wa kuandaa financial statement ya duka kubwa au taasisi kama shule.
Ningependa kufanya diploma ila muda wa miaka miwili nitakwamisha shughuli zangu bora mwaka mmoja wa certificate.
Nawasilisha hoja na ninakaribisha hoja za kuunga mkono na za kupinga wazo hili.
Aksanteni Sana.