Ushauri; Nataka kuthubutu kuanzisha biashara ya Hiace

Baba Davey

Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
12
Reaction score
9
Naombeni ushauri na changamoto! Coz nataka nithubutu kwa kununua gari ndogo ya usafiri iitwayo (Hiace) ili nisafirishe watu maeneo to faut kama biashara.
 
Naomben ushauri na changamoto! Coz nataka nithubutu kwa kununua gari ndogo ya usafiri iitwayo (hyce)ili nisafirishe watu maeneo to faut kama biashara.
Ni Hiace
Changamoto hizi hapa
Mlolongo wa vibali
Trafiki wala rushwa
Madereva wasio waamini fu
Wizi wa vifaa
Kuchagua njia sahihi
Wizi wa mapato
Gari kubebeshwa mizigo mizito kuzidi uwezo wake nknk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…