USHAURI: Nataka kuuza Toyota Altezza ninunue Toyota Brevis

USHAURI: Nataka kuuza Toyota Altezza ninunue Toyota Brevis

officialfaheeed

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2019
Posts
389
Reaction score
233
Habari zenu nina Toyota Altezza Kali sana Lakini nataka niuze ninunue Toyota Brevis.

Ushauri wenu please nifanye hivyo au Altezza inakuwa nzuri kuzidi Brevis?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kidogo kati ya hizo gari. So kwangu sioni point ya kubadilisha. Kama unataka uograde bora uende Crown

Soon mambo natarajia yatakaa vyema, nataka ninunue Mb Slk au bmw za 2003 hapo mkuu.

Una ushauri wowote khs matumizi ya convertible kwa maisha ya kibongo bongo mkuu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama una gari lingine sawa. Ila kama hauna utakosa raha. Maana sisi tunaishi kijamaa, na hivyo vigari vingi ni 2 seaters. Utashindwa kumbeba mama mkwe wakati mvua inamnyeshea.
 
Ebu niambieni tofauti ya Brevis na Crown kijumla? Kwangu mimi naona zote sawa sema balance brevis ipo vizuri sana kuliko crown....

Sent from my iPhone using JamiiForums
Crown ina stability kushinda brevis pia ni comfortable kuliko brevis...athletes ni gari ngumu kuanzia body,spare na chassis yake.

Brevis ikifika kwenye speed 140-160 haitulii barabarani na kama utapishana na bus ujuwe utatoka kwenye mstari tofauti na crown hata upige 180 bado gari inakuwa imetulia kabisa bila kuyumba,kama upo Dar utaona gari ambazo zinatamba ni crown hata bei yake imechangamka kushinda brevis ndio maana leo kama una brevis na crown utakayouza kwa haraka itakuwa crown
 
Mkuu leo umejitahidi sana naona hujaitaja carina mpk sasa hivi ,hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom