officialfaheeed
JF-Expert Member
- Jan 31, 2019
- 389
- 233
Kuna tofauti kidogo kati ya hizo gari. So kwangu sioni point ya kubadilisha. Kama unataka uograde bora uende Crown
Kama una gari lingine sawa. Ila kama hauna utakosa raha. Maana sisi tunaishi kijamaa, na hivyo vigari vingi ni 2 seaters. Utashindwa kumbeba mama mkwe wakati mvua inamnyeshea.Soon mambo natarajia yatakaa vyema, nataka ninunue Mb Slk au bmw za 2003 hapo mkuu.
Una ushauri wowote khs matumizi ya convertible kwa maisha ya kibongo bongo mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama una gari lingine sawa. Ila kama hauna utakosa raha. Maana sisi tunaishi kijamaa, na hivyo vigari vingi ni 2 seaters. Utashindwa kumbeba mama mkwe wakati mvua inamnyeshea.
Hehehee! Hilo nafuu.Hahah jingine lipo mkuu la siti 5.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Athelete ya 2006-7 imekaa vizuri saana.Brevis/brevenga ni mnyama sana sana, ila ukichukua crown itapendeza sana...crown ipi ilo inategemea na mfuko wako
Brevis gari bana chukua crown athlete ufurahie kuendesha gari
Crown ina stability kushinda brevis pia ni comfortable kuliko brevis...athletes ni gari ngumu kuanzia body,spare na chassis yake.Ebu niambieni tofauti ya Brevis na Crown kijumla? Kwangu mimi naona zote sawa sema balance brevis ipo vizuri sana kuliko crown....
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu leo umejitahidi sana naona hujaitaja carina mpk sasa hivi ,hahahCrown ina stability kushinda brevis pia ni comfortable kuliko brevis...athletes ni gari ngumu kuanzia body,spare na chassis yake.
Brevis ikifika kwenye speed 140-160 haitulii barabarani na kama utapishana na bus ujuwe utatoka kwenye mstari tofauti na crown hata upige 180 bado gari inakuwa imetulia kabisa bila kuyumba,kama upo Dar utaona gari ambazo zinatamba ni crown hata bei yake imechangamka kushinda brevis ndio maana leo kama una brevis na crown utakayouza kwa haraka itakuwa crown
[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]inaelekea unashinda humu kufuatilia kila member anamiliki gari la aina gani....tupia basi mnyama wako hapa tumuoneMkuu leo umejitahidi sana naona hujaitaja carina mpk sasa hivi ,hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaaa haya mkuu tupo pamojaMkuu leo umejitahidi sana naona hujaitaja carina mpk sasa hivi ,hahah
Sent using Jamii Forums mobile app