Ushauri: Nataka kuweka curly

Ushauri: Nataka kuweka curly

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari wakuu,

Naomba mnisaidie ushauri,

Nina nywele ndefu tu ila nilikuwa naweka dawa ya kawaida aina ya movit na sasa nina kama miezi mi 4 sijaweka dawa nywele zimekuwa kama hazikuwa na dawa, nimechoka kuweka dawa nimeanza kutamani kuweka curly.

Je naweza kuweka curly?
 
Curl ni kwa nywele natural ndio zinakubali
...labda ukate za juu zenye dawa ubakize natural ndio uanze kuweka curl....

Ila style ya curl kwa sasa iko poa sana
 
Curl ni kwa nywele natural ndio zinakubali
...labda ukate za juu zenye dawa ubakize natural ndio uanze kuweka curl....

Ila style ya curl kwa sasa iko poa sana

Jamani, nywele zangu ndefu zinaniuma kukata...
 
Kama nywele zako ni hizo ninaziona kwenye picha then sioni ulazima wa kuhangaika na dawa.
You look absolutely fine.
Wengine wanazitamani lakini ndio hivyo bahati mbaya.
 
Kama nywele zako ni hizo ninaziona kwenye picha then sioni ulazima wa kuhangaika na dawa.
You look absolutely fine.
Wengine wanazitamani lakini ndio hivyo bahati mbaya.
Mkuu huyo sio mimi...ila napenda kuweka dawa...
 
Back
Top Bottom