Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k
Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo yatayonisaidia na kunijenga kisaikolojia na kifizikia kuelekea safari ya kutafuta maisha na kujiendeleza kimasomo
Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo yatayonisaidia na kunijenga kisaikolojia na kifizikia kuelekea safari ya kutafuta maisha na kujiendeleza kimasomo