Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
Hakuna tofauti na ulipotoka.Ni Kijana nnaetarajia kuelekea dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoan Dar es laam sasa kama kijana kuna mda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi , chakula n.k hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo yatayonisaidia na kunijenga kisaikolojia na kifizikia kuelekea safar ya kutafuta maisha na kujiendeleza kimasomo
[emoji1666][emoji1666]shukrani mkuuHakuna tofauti na ulipotoka.
But Eyes open in Every Stape .
[emoji1666][emoji1666]"ukiingia mjini usishangae,UKISHANGAA UTASHANGAZWA Braza usizubae Ukizubaa UTAZUBAZWA" Stamina
Kuwa mjanja,jitume usibweteke ukawa kama nw(wanaume wa dar)dsm kila mtu mjanja ni ilo tu kwangu ngoja waje wengne wakushaur
[emoji1787][emoji1787][emoji1666]Njoo ukijua Mihogo ya mia mia ni kifungua kinywa cha wengi hapa das'lam
stape maana yake nini?Hakuna tofauti na ulipotoka.
But Eyes open in Every Stape .
Sina mpango na hosteli kabsaaaUkikaa hostel mihogo itaokoa bajet
[emoji1666][emoji1666]Kaa mbali na ma slay queen tu. Ukijichanganya ukawaingia unaweza jikuta unauza mpaka utu wako ili tu uweze kukidhi haja zao.