Ushauri nawahi sana kupeez wakati wa sex nifanye nini

Huwa kwa kawaida kuwahi hasa kwa bao la kwanza, labda ungetaja mda gani! Kama la kwanza na yanayofuatia yanawahi pia basi ni Sababu; ugeni kwenye mambo ya ngono, kutofanya ngono mda mrefu kwa hiyo unakuwa na hamu nyingi, utapeez mapema, punyeto, kuwa na asili ya hiyo kwa maana uko very sensitive naturaly so sympathetic nervous system inarespond haraka unawah kupeez. christopher stuat
 
Last edited by a moderator:

nimekuelewa sana mkubwa so ni njia gani nitumie ili hilo suala liweze kupungua
 
Last edited by a moderator:
Cha kufanya. Usiwe na papara katika ngono, tulia hema taratiibu usiheme haraka, vuta pumzi nyingi taratibu then itoe taratibu, pia unaweza kuwa unajaribu kufikiria kitu kingine wakati wa ngono, kama vile kujipa hesabu kichwani then unai solve, mfano unaanza 2x2=4 4x4=8 8x8=16 hivo hivo nakuendelea. Au ukajiuliza siku ulizowah kufurah sana na kwa nini au ulizokasirika, au unahesabu idadi ya mashati yako na rangi yani ili mradi akili yote isiwe kwenye ngono! Hauwez ukarefusha bao kwa siku moja au mbili lakini kadri mda unavyokwenda utaimprove mpka utawapita hata hao unaona wanaenda zaidi kwa sbb hili ni jambo la akili kuzoea tu
 
Pia kuna moja inaitwa start and stop. Pamoja na huko kuwaza ukiona bao linakuja, unastop kupump au unamwambia asubiri kama yeye ndiye aneshughulika! Ukistop bao haliji, then after few seconds unaanza kupump tena au unamwambie aendelee. Na yenyewe ina improve kadri mda unavyozidi kwenda! Ukikombine na ya kuwaza kuhema baada ya mda utaimprove sana tu
 

Asante sana kwa ushaur wako mkubwa
 
Pia kuna style, mfano style ya kumuinamisha inakuwahisha kwa sbb ya msuguano kwa hyo unaweza usiitumie mwanzo au ukatumia baadae. Mwisho kuna dawa za kupaka kwenye head of penis, kazi yake ni kupunguza sensation so una last longer,kadri mda unavyoenda inaisha. unatumia kwa mda kidogo then akili inazoea kuchelewa kwa hiyo hata ukiacha unakuwa umezoea kuchelewa! Zipo za viwandani na zipo za asili! Za asili unaweza ukapaka leo mechi iko kesho,au ukapaka asubuh mechi usiku,ni ya unga unga unachanganya na asali then unaipaka kwenye head of penis. Unakwenda kwenye dakika 30-45 kwa la kwanza! Haina madhara kwasbb hauinywi. christopher stuat
 
Last edited by a moderator:

unga wa ugal au wa ngano mkubwa
 
Last edited by a moderator:
> Alternative katika hili la hesabu ni kuhesabu kinyume nyume kulingana na uhemaji wako. Mfano 200, 199, 198 mpaka 1
> Itafikia mahala utaweza tambua mwezi wako huwa tayari safari yake imefika wakati count down umefikia ngapi.
> Pia kuzingatia hilo zoezi itakuwezesha wewe kuamua kwamba umalize
> Hivyo mleta mada akicheza vyema na akili yake hilo tatizo atalimaliza ndani ya wiki tu.
> Pia mleta mada aangalie aina za vyakula anavyotumia .
 
Achana na missionary, hata ma-porn star wanajua kabisa madhara ya missionary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…