Nimeresearch sana na kusema kweli majirani zetu wakenya wako mbele yetu sana kwenye sector ya geothermal energy. Tanzania Geothermal Development Company ndio kwanza inaanza na haina hata website, wakati Tanzania ndio nchi yenye potential kubwa sana hapa Afrika kwenye sector ya geo thermal energy.
Je naweza nikaomba kwenda field GDC (geothermal development company) ya Kenya?