Ushauri, nawezaje kuwazuia ndege wanaokula mahindi shambani?

onjwayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
1,356
Reaction score
1,309
Nimepanda mahindi yangu na mwanzo nilipambana na viwavi jeshi. Sasa huyu ndege analeta madharau. Je, nimmalizie au Kigwangala atakuja juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hesabu idadi magunzi ya mahindi yaliyoliwa, tutalipa tu,baada ya kujua bei yake kwa wachoma mahindi. Pesa iko,usiwaue ndege
 
Wewe kama si mwanasiasa wala mtu mwenye kuweza kumpa mtu kiki..Ko KIGWA hatakusakama.Wewe mkili tu.Alikua wapi wakati unateseka mpaka mahindi yakafikia hatua hiyoo!!
 
kuna ma-ndege mengine huwa haya uwawagi ovyo ovyo........shauri zako na wewe yatakukuta
 
Chukua ushauri no 1, Imeandikwa hawalimi wala kwenda shamba, ila watakula na kusaza, ulijua watakula mawe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…