R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,161 Aug 6, 2025 #1 Salaam! Kwa kuwa katiba inarihusu kugombea Urais na ubunge kwa wakati huo huo, Chukua fomu ya kuwania pia ubunge Jimbo la Kisesa, maana hao ndio Msingi wa WEWE kufahamika. NB: Bila Reforms kufanyika kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi, uchaguzi batili UTAYEYUKA. NRNE πͺ π₯ Nawasilisha π
Salaam! Kwa kuwa katiba inarihusu kugombea Urais na ubunge kwa wakati huo huo, Chukua fomu ya kuwania pia ubunge Jimbo la Kisesa, maana hao ndio Msingi wa WEWE kufahamika. NB: Bila Reforms kufanyika kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi, uchaguzi batili UTAYEYUKA. NRNE πͺ π₯ Nawasilisha π
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 6, 2025 #2 Ubunge ni karata mzuri kwake
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,161 Aug 6, 2025 Thread starter #3 Numbisa said: Ubunge ni karata mzuri kwake Click to expand... Wana Kisesa Hadi sasa wamepigwa butwaa tu.
Numbisa said: Ubunge ni karata mzuri kwake Click to expand... Wana Kisesa Hadi sasa wamepigwa butwaa tu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 7, 2025 #4 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
L Lema Sumary Member Joined Jul 8, 2025 Posts 41 Reaction score 48 Aug 7, 2025 #5 Actually angegombea Ubunge ingekuwa vizuri zaidi.
Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,766 Reaction score 3,500 Aug 7, 2025 #6 Ana hasira na chura kiziwi anataka am challenge
G guest-1790917349 Guest Aug 7, 2025 #7 Numbisa said: Ubunge ni karata mzuri kwake Click to expand... Hapa Kuna kitu ,anaelewa kabisa Kwann kaenda urais?
Numbisa said: Ubunge ni karata mzuri kwake Click to expand... Hapa Kuna kitu ,anaelewa kabisa Kwann kaenda urais?