Hbr wana jf nina mtaji wakutosha nataka ninunue costa mpya(i mean used from our local yard) ili nianze biashara ya usafiri jijin dar.. Naomba ushaur na mawazo yenu ktk hili. Asanteni
hilo nalo wazo,ila pia unaweza ukaenda mikoani,utapata hadi magobore mawili kwa bei ya chini yatakayohitaji service na repair ya uhakika,utapanda taratiibu,na utapata faida zaidi,,,hayo ni maoni yangu...ukiyaingiza mjini utafanikiwa