Bobumikwara
Member
- Jul 17, 2014
- 43
- 14
Mimi ni graduate 2013 (BAED)niliapply Master of education in philosophy nje ya nchi S.Afrika,mwanzoni kwenye application nilitakiwa niattach certified copy of Passport ckuwa nayo,ila Mungu mkubwa nilistruggle ndani ya week 3 nikaipata nikaituma,ingawa nikawa nimechelewa kwa semester ya kwanza ambayo ilianza March,nikaambia nijaze application form upya alafu nitick semester 2 ambayo huanza tar 25-28 July.nikafanya kama nilivyoelekezwa,hapohapo nikaapply na scholarship nikaattach na supportive document,mwezi wa 5 nikapigiwa cm kwamba nipo tayari kwenda kwenye enrolment mwezi wa 6 mwishoni?,nikawajibu ndiyo ila nasubiria scholarship feedback,wakaaniambia niwacliane nao wale wa scholarship department,nikawacliana nao wakaniambia scholarship feedback ni mwezi wa 7 tar 7 ingawa wametoa juzi tar 14,walisema watatujulisha kwa email,sasa yule niliekua nikimtumia certified copy zangu na supportive document email yake nikimtumia Sms inaniandikia delivery message fail permanent,alafu yule department ya schalarship akaniambia nimtumie admission no nikakumbuka ckuifuatilia, natamani sana hii chance Mungu anisaidie nisiipoteze muda uliobaki ni mchache,cwezi kupata Visa bila admission letter nifanyaje sasa hapa wakuu.Mungu awabariki.