Kinyoo
Member
- Apr 2, 2012
- 26
- 7
Habari wana JF,hasa upande huu wa mabiashara.Ninachoomba wana JF wenzangu ni Business Plan,ya Capital ya Mil 30.
Nini mtu anaweza kufanya nazo,ili aweze kupata mafanikio ya kibiashara.Ninaomba ushauri,royality will be paid after the business picked up.
Karibuni.
pia unaweza uka e mail,alcalrobie@gmail.com