luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau habari zenu !
Kila nikipita pale eneo la Urafiki zile flats pale zimesheni ofisi za makampuni ya mabasi mbalimbali, lile eneo naona ni eneo zuri na endapo NHC kama watajenga apartments (maghorofa) na maeneo ya ofisi hakika NHC watapiga sana pesa, pale ni hot cake sanaa, au yale majengo sio ya NHC ?
Yaan lile eneo nafikiri ni bora kuliko ile project ya morocco square