luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Okay wange yauza tu, eneo lipo very strategicallyMaghorofa ya kiwanda cha urafiki
wako chattle busy kuporomosha mijengoOkay wange yauza tu, eneo lipo very strategically
Nilisikia majuzi wakat wana zindua project yao kule dodoma.,.kuna fungu wamekatiwa na Gov. Kwa ajili ya project zao, nafikir ni pamoja na zile zilizo kuwa zikisuasua,Pale Morocco wameshindwa nini kukamilisha zile Flats? Waje waweze urafiki?
Nakutuma uwende unipelekee ombi langu nataka kuwekeza pale ww ntakupa naffasi ya kazi walau uwe bwana usafi pale. ItapendezaaaJenga zako. Uwashinde NHC. Ujuaji mwingiii
Na ile 7/11 wameshindwa nini? Kodi za pango wanazokusanya zinaenda wapi?Nilisikia majuzi wakat wana zindua project yao kule dodoma.,.kuna fungu wamekatiwa na Gov. Kwa ajili ya project zao, nafikir ni pamoja na zile zilizo kuwa zikisuasua,
Ule ni uchafu, ktk karne hii mapinduzi ya Real estate zile ni takataka za kutoa ,Sijakuelewa mtoa mada unaposema "kama watajenga maghorofa" wakati pale pamejaa maghorofa na wapangaji wamejaa. Au unataka wajenge kwenye zile open space?
NB:Yale ni ya kiwanda cha urafiki sio NHC
"atabile"ndio mkojo gani huo??Wadau habari zenu !
Kila nikioita pale eneo la Urafiki zile flats pale zimesheni ofisi za makampuni ya mabasi mbalimbali, lile naona ni eneo zuri na endapo NHC kama watajenga apartments (maghorofa) na maeneo ya ofisi hakika NHC watapiga sana pesa, pale ni hot cake sanaa, au yale majengo sio ya NHC ?
Yaan lile eneo nafikiri ni bora kuliko atabile project ya morocco square
Mkuu umetoa mawazo + sana yaan pale urafik palivyo yaan ukitaka kwenda town, sijui Taifa, sijui bugurun, sijui mbezi, yaan ni bonge la locationKama NHC wamefanikiwa kuikarabati Magomeni Quarters na kujenga flats zenye apartments za kutosha, kwa nini wasichukue mafanikio hayo ya Magomeni kama mfano na mwanzo wa kukarabati Manzese,Tabata, Temeke, Gongolamboto Mbagala na sehemu zote zinazoitwa uswahilini? 🤔 🤔