KUMBAMBANDILA
Member
- Feb 21, 2016
- 86
- 62
mkuu umeghairi kununua PRADONataka kuagiza gari aina ya Kluger V, najua hapa JF kuna watu wengi wamewai kugiza magari nnje ya nchi.
Napenda kujua kampuni gani mzuri zaid kuagiza gari, kwenye swala zima la usalama na kuwai kufika.
Natanguliza shkran zangu kwenu wadau.
Imalaseko Super marketNataka kuagiza gari aina ya Kluger V, najua hapa JF kuna watu wengi wamewai kugiza magari nnje ya nchi.
Napenda kujua kampuni gani mzuri zaid kuagiza gari, kwenye swala zima la usalama na kuwai kufika.
Natanguliza shkran zangu kwenu wadau.
Na mambo yote yapo JfDunia ina mambo
Check with real motor wana magari standard bei nzuri na hawachelewi..tusikariri be foward na trade carview mnagongwa hukoooo..
Real motors, auto rec na Royal trading wanauza magari mazuri kwa bei nafuu sana.Check with real motor wana magari standard bei nzuri na hawachelewi..tusikariri be foward na trade carview mnagongwa hukoooo..