Ushauri: Ni kozi ipi inafaa ngazi ya degree kwa mhitimu wa Diploma ya Records Archive and Information Management?

Noel Heddy

Member
Joined
Jul 2, 2024
Posts
5
Reaction score
3
Mimi ni mhitimu wa diploma ya Records archive and information management, nilikuwa napenda kujua ama kupata maoni na ushauri kutoka kwa watu mbali mbali ni course ipi itakuwa sahihi katika muendelezo wangu wa elimu ngazi ya Degree.

Tafadhali jamii naomba majibu😔 Education Forum
 
Mimi ni mhitimu wa diploma ya Records archive and information management, nilikuwa napenda kujua ama kupata maoni na ushauri kutoka kwa watu mbali mbali ni course ipi itakuwa sahihi katika muendelezo wangu wa elimu ngazi ya Degree.

Tafadhali jamii naomba majibu[emoji17] Education Forum
Wewe ni mtumishi?
Tuanzie hapo.
 
Hapana ni mhitimu
Kasome moja miongoni mwa hizi;
  • Human Resources Management,
  • Public Administration,
  • Procurement & Logistics.

Hizo mbili za mwanzo job zake ni za kusotea kimtindo,
Ila ukipata kwenye taasisi, hauwi mnyonge, kwani ni za kiutawala sana.
 
As

asante sana
 
Back
Top Bottom