Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Nachukulia Kenya bongo hakuna brand hata moja apoDenon, kwa bongo utazipata? Au unaagiza nje?
Mkuu umepata mtu wa kukununulia ama unakuja mwenyewe Nairobi?Nachukulia Kenya bongo hakuna brand hata moja apo
NaagizaMkuu umepata mtu wa kukununulia ama unakuja mwenyewe Nairobi?
Klipsch ni watengenezaji wa speaker tu.Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
Chukua AV receiver ya Denon au Marantz na speaker set ya Klipsch.Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
AV receiver sio nzuri kwa music(they ate meant for movies), na mtoa mada amesema anataka kwa ajili ya Music.Chukua AV receiver ya Denon au Marantz na speaker set ya Klipsch.
Hapo hakuna all in one brand kwenye Music.Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
for the case of true music, tafuta tu intergrated or power amplifier with good speakers, vinginevyo angukia kwenye Hi Fi kama AVR umeona hazikufaiSony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
Klipsch wana AVR au speaker tu???Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega .
NB:kwa ajili ya music tu sio movies
SpeakerKlipsch wana AVR au speaker tu???