frank mayige
Member
- Jan 5, 2013
- 60
- 10
Ahsante ndugu yangu kwa maelezo mazuri sana , nimekuelewa vzr, 1. Card ya uanachama ninayo 2. Mkataba wa ajira ninao, lakini kampuni hyo tulikuwa tunanyimwa salary slip ukiomba tuu salary slip wanatishia kukufukuza kazi kwahyo kwa miaka yoote ambayo nimefanya kazi hapo cjawahi kupewa salary slip, na pia mwajiri alikuwa hataki kusilikiza mfanyakaji kabisaa, pia nilijaribu kufuatilia PPF wenyewe wanasema mwajiri wamempeleka mahakamani kwaajili ya kuchelewesha michango ya wafanya kazi lkn mpaka sasa hakuna jipya, niakona nije hapa dar es salaam napenyewe nimefuatilia majibu ni yale yale, nilijaribu kuomba Statement kutoka PPF ya michango yangu nikaona michango iliyo pelekwa ni mwaka nilioanzia kazi 2012 mpaka mwezi 9 tu, inamaana kuanzia mwezi 10, 2012 mpaka 2014 mwezi 12 hakuna mchango ulio pelekwa mpaka sasa, na kampuni imefulia balaa.ikiwa mkataba wako wa ajira unakipengere cha hifadhi ya jamii, ninakushauri 1. chukua taarifa za uchangiaji katika mfuko wako na uandika barua ya malalamiko yako kwa mwajiri wako na umtake akupe majibundani ya wiki moj ( ambatsnisha mkataba wa ajira na taarifa na card ya uanachama wako ) please usifanye majaduriano ya mdomo 2, ikiwa atakili kosa muulize ni lini atapekeka michango yote ktk mfuko wako( Afanye hivyi kwa barua/maandishi). Tunza barua yako. Subiri mpaka mwenzi husika aliokuhaidi kulipa michango yako! 3. ikiwa hakufanya hivyo basi nenda na nyaraka zako zote za ulizotumia hapo juu na barua uliyoandika kwa mwajiri na majibu aliyokupa/ aliyokuhaidi na nenda kwenye office za kanda za commission of abtration and reconciliation( tume ya ushuruishi na upatanishi) wao watamuita mwajiri wako na kukumfahamisha juu ya malalamiko yako! Njii hii ni salama kwa ajira yako na tume italinda ajira yako,,,na ikiwa watatimiza madai yako na wakataka kukufukuza basi itakuwa faida kwako kwani tume itawataka wakulipe mishahara ya miezi mitatu! Ahsante!
nikweli kabisaa lkn bora michango ionekane imepelekwa sio mpaka niwe mzee nianze tena kuhangaikamafao yenyewe mkuu hadi umri wa kustafu ufike ndo uchukue
daaaah asee pole sana!!