Nini nifanye ili niache kupiga punyeto but tayari nina mpenzi na huu ni mwaka wa tatu nipo naye kwenye mahusiano Ila bado napiga punyeto na kumfikisha kileleni namfikisha vizuri sana
mleta mada huwezi kukosa katika mambo haya
1,ndo umetoka kubalehe
2,huna kazi ya kufanya
3,wala huna demu
4,unaogopa wanawake
5;mwisho malizia homework zako la sivyo kesho bakora za matako zitakuhusu shule
Mkuu artha kwa ushauri wangu ni bora uowe tu yaani hisia zukikupanda unamuita shemu wetu kisha una mgegeda and of the day utajikuta umesahau kabisa kupiga Nyeto