Ushauri: Nifanyeje apate mimba ili nimuoe?

Ushauri: Nifanyeje apate mimba ili nimuoe?

Joined
Mar 21, 2018
Posts
35
Reaction score
9
Mimi hua nikipendana na mwanamke, akianza kunipa mzigo jua hapo amenitikisa. Yaani kwa wiki tunafanya siku 6 na nisha koma kukojoa nje.

Yani nikikojoa ni ndani kwa ndani. Ila hashiki mimba. Na mimi niya yangu abebe mimba ili nimuoe ila imeshindikana.

Nifanye nini?
 
Iyo pia nisababu ya kutompa mimba ,maana unamwagia vimbengu vichache na vya kipuuzi ambavyo havijakomaa vizuri .

Jua mzunguko wake

Usex sanaaa acha shahawa zikomae vizuri ,mkule siku za mimba ,kitu kitaingia.
 
Pole, pia mchungaj gwajma yupo anaombea watu kila siku za week. Karbu
 
Back
Top Bottom