S Salus samy vladmir Member Joined Mar 21, 2018 Posts 35 Reaction score 9 Mar 22, 2018 #1 Mimi hua nikipendana na mwanamke, akianza kunipa mzigo jua hapo amenitikisa. Yaani kwa wiki tunafanya siku 6 na nisha koma kukojoa nje. Yani nikikojoa ni ndani kwa ndani. Ila hashiki mimba. Na mimi niya yangu abebe mimba ili nimuoe ila imeshindikana. Nifanye nini?
Mimi hua nikipendana na mwanamke, akianza kunipa mzigo jua hapo amenitikisa. Yaani kwa wiki tunafanya siku 6 na nisha koma kukojoa nje. Yani nikikojoa ni ndani kwa ndani. Ila hashiki mimba. Na mimi niya yangu abebe mimba ili nimuoe ila imeshindikana. Nifanye nini?
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Mar 22, 2018 #2 Iyo pia nisababu ya kutompa mimba ,maana unamwagia vimbengu vichache na vya kipuuzi ambavyo havijakomaa vizuri . Jua mzunguko wake Usex sanaaa acha shahawa zikomae vizuri ,mkule siku za mimba ,kitu kitaingia.
Iyo pia nisababu ya kutompa mimba ,maana unamwagia vimbengu vichache na vya kipuuzi ambavyo havijakomaa vizuri . Jua mzunguko wake Usex sanaaa acha shahawa zikomae vizuri ,mkule siku za mimba ,kitu kitaingia.
Benfamous JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 484 Reaction score 375 Mar 22, 2018 #3 Pole, pia mchungaj gwajma yupo anaombea watu kila siku za week. Karbu
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,677 Reaction score 45,532 Mar 22, 2018 #4 Ameifata nyota ya kijani mwenzio.
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,074 Mar 22, 2018 #5 Benfamous said: Pole, pia mchungaj gwajma yupo anaombea watu kila siku za week. Karbu Click to expand... aisee
Benfamous said: Pole, pia mchungaj gwajma yupo anaombea watu kila siku za week. Karbu Click to expand... aisee