Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habari ya leo jamani,
Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu.
Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa.
Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu lazima nimpatie Hadija wangu walau elfu tano ya kununulia lip shine na kusafishia kucha, ila mwezi ukifika tu hola.
Yaani Hesabu za ajabu za uchumi huwa zinakivurunda kichwa changu ghafla, mara nakuta ile hela niliyopanga kumhonga Hadija wangu mbona kama hainiletei return au cash profit.
Basi huwa najipanga tena labda mwezi unaofuata. Tena hujirudia yale yale mambo ya ajabu ya hesabu za uchumi.
Nipeni ushauri ndugu zangu nifanyeje.