Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Pesa ninayo shida yangu kubwa ni hizo hesabu za ajabu za uchumi ambazo huvamia kichwa changu ghafura.chief tafuta pesa.
Pesa unayo ambayo hata wewe haikutoshi ndio mana unapata ugumu kumpa mwinginePesa ninayo shida yangu kubwa ni hizo hesabu za ajabu za uchumi ambazo huvamia kichwa changu ghafura.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Pesa unayo ambayo hata wewe haikutoshi ndio mana unapata ugumu kumpa mwingine
Hivi hela huwa zinatoshaPesa unayo ambayo hata wewe haikutoshi ndio mana unapata ugumu kumpa mwingine
Njoo ufanyie mazoezi ya kuhonga kwangu ukifuzu unarudi kumhonga hadija.Ntakufundisha vizuri na utakua expert.Habari ya leo jamani,
Nimekuja kuomba ushauri mwenzenu.
Hebu nisaidieni nifanyeje ili nijue kuhonga maana kila nikijaribu kuhonga nashindwa.
Saa nyingine naweza kujipanga kabisa kwamba mwezi huu lazima nimpatie Hadija wangu walau elfu tano ya kununulia lip shine na kusafishia kucha, ila mwezi ukifika tu hola.
Yaani Hesabu za ajabu za uchumi huwa zinakivurunda kichwa changu ghafla, mara nakuta ile hela niliyopanga kumhonga Hadija wangu mbona kama hainiletei return au cash profit.
Basi huwa najipanga tena labda mwezi unaofuata. Tena hujirudia yale yale mambo ya ajabu ya hesabu za uchumi.
Nipeni ushauri ndugu zangu nifanyeje.
Meneja kama meneja[emoji23]Habari ya leo jamani,

hahahahahaaaaaaJibwana
I'm meMeneja kama meneja[emoji23]
hahahahaaaaaaaaaaUsiingilie majukumu ya sponsor....utaishia kuona wanawake hawafai bro kumbe we ndio haufai.
Sawa sawa, kwa hivyo wewe unafanyeje ili uhongeAmna kitu kizuri kutizAma kama urembo wa manzi wako ambao umelipia .acha kabisa