Mkuu wapi hiyo Sao au Rio?Nimekaa Mozambique na sasa nipo Brazil ninaendelea kujifunza portuguese si lugha inayoongelewa sana ila ukiijua unaweza pata nafasi ya kujifunza kii spaniola na kifaransa kwa urahisi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa ni mawazo yako mkuu!!Naona unawaza kinyumenyume.
Tunakoenda lugha zote zitakufa, zitabaki:
- English
- Mandarin
-
Uliacha chotara la kichina?Tunakoenda haya mambo yanaisha kila mtu atabaki na lugha yake technology inakuwa Sana siku hizi mnaweza kukaa kwenye meza moja na mchina kila mmoja akaongea lugha yake na mkaelewana!
Miaka 3 iliyopita nilikutana msichana wa kichina huko kwenye vijiji vyao hajuwi luga yoyote zaidi ya kichina Ila simu ilituunganisha na kulikuwa na baridi Sana ya hatari kwangu Ila alinisaidia sana kuipunguza na kuniandalia supu nzuri ya samak
๐๐๐๐๐๐ mkuu acha tu!!Uliacha chotara la kichina?
Tutegemee obama wa kichina? Nasikia wachina wanawapenda sana ma black America men sijui kwa sababu ni mahand some au wanawapenfa kwa sababu ya mpunga mrefu kama myweather.Nasikia ukisema wewe ni black Amerika Uta####tom@@@@ba tuchina hata buku.? Kuna mchina alinitega dsm kwenye gari yake mapaja mwaa mzee nikatafakari kwamba ni tamaduni zao au ndio anikuwa ananifunilia nitumbukize kichwa cha Abdala Selemani!, mzee mpaka leo najiuliza?๐๐๐๐๐๐ mkuu acha tu!!
Mkuu kimoja tu kizuri hakusahau milele alafu! Me watoto wangu wa kiume nita washawishi waowe wa china!!Tutegemee obama wa kichina? Nasikia wachina wanawapenda sana ma black America men sijui kwa sababu ni mahand some au wanawapenfa kwa sababu ya mpunga mrefu kama myweather.Nasikia ukisema wewe ni black Amerika Uta####tom@@@@ba tuchina hata buku.? Kuna mchina alinitega dsm kwenye gari yake mapaja mwaa mzee nikatafakari kwamba ni tamaduni zao au ndio anikuwa ananifunilia nitumbukize kichwa cha Abdala Selemani!, mzee mpaka leo najiuliza?
Lugha kuu duniani zinazotumika kwa asilimia 80 ni Kichina yaani (Mandarin), Kiingereza(English) na Espanora(Kihispania).Kwanini?
ni kweli kichina sio lugha rahisi, mimi nimekaa huku miaka minne 4 ili kukijua hahah. Lakini asikudanganye mtu. Ukifundishwa kwa mpango taratibu.utakishika haraka. inategemea tu na juhudi na utamani wa mwanafunzi kujifunza. nicheki kama utakuwa unataka kujifunza.Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.
2.kiarabu kiko poa sana endapo mtu ni mwislamu, ni rahisi kukielewa kwa sababu hata lugha yetu hii ni mchanganyiko wa maneno ya kiarabu na ya kibantu
3.kichina ni dili lakini ni kigumu sana, inabidi uanze upya kuandika herufi na namba, na mambo mengine mengi mno, kwa ufupi ni lugha ngumu sana