amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 456
Nahitaji ushauri kwa wataalam wale waliopo huku,
Nilikua sijajua hili tatizo ila limenikuta sikujua kwanini. Siku za nyuma nilikua nikingonoka nilikua napatwa na hali isiyo kawaida hutokwa na jasho sana kichwani na pia kichwa huanza kuniuma baadae hujisikia sehemu ya mgongo kuniuma sana na kuishiwa nguvu.
Nilijaribu kuomba ushauri nikaambiwa labda ni uchomvu tuu ila hali imezidi juzi nikiwa faragha napata vyangu hali ilinitokea ghafla hivyo hivyo nilipowahi hospitali nilipimwa BP nikakuta ipo 140/80.
Hii hali imeniongezea wasiwasi nisijue tatizo ni nini, nilikua naomba ushauri hili linachangiwa na nini? Na kwa hii BP je ipo juu sana na je itaweza nisababishia kiharusi nikiendelea kungonoka?
Sent using Jamii Forums mobile app