Ushauri: Nikifanya mapenzi presha hupanda sana, nini tatazo?

amanda cute

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
244
Reaction score
456
Nahitaji ushauri kwa wataalam wale waliopo huku,

Nilikua sijajua hili tatizo ila limenikuta sikujua kwanini. Siku za nyuma nilikua nikingonoka nilikua napatwa na hali isiyo kawaida hutokwa na jasho sana kichwani na pia kichwa huanza kuniuma baadae hujisikia sehemu ya mgongo kuniuma sana na kuishiwa nguvu.

Nilijaribu kuomba ushauri nikaambiwa labda ni uchomvu tuu ila hali imezidi juzi nikiwa faragha napata vyangu hali ilinitokea ghafla hivyo hivyo nilipowahi hospitali nilipimwa BP nikakuta ipo 140/80.

Hii hali imeniongezea wasiwasi nisijue tatizo ni nini, nilikua naomba ushauri hili linachangiwa na nini? Na kwa hii BP je ipo juu sana na je itaweza nisababishia kiharusi nikiendelea kungonoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea kwa tatzo lako pengne huwa unakuwa na shauku kubwa ya tendo hilo au hofu.... Tofaut na hapo huna bud kuwaona wataalam kujua zaid nini tatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa una presha ni vyema ukapata ushauri wadr jinsi ya kupambana na hali yako LA sivyo utafia chini ya uvungu wa mtu
 
Usitie mbwembwe nyingi wakati unafurahia lile sausage(soseji). Mfano usikate mauno kama mcheza show wa ki-Congo kama wale wa Werrason au Koffi, au Fally Ipupa. Wewe tulia kama mama wa kichagga mwachie mnyamwezi aendeshe show kama Mr. Mandingo yule wa Porno za kizungu. Mwache jamaa apige zile to-and-fro motion kama piston ya motor engine.
 
Kama unakaribia kwenda kucheza show tumia soya iliyokaangwa kama chai, weka na mdalasini ukiweza. Vizuri zaidi ukiweka ktk maziwa fresh ya moto kwa siku kama tatu mfululizo hadi siku ya match. Piga kutwa mara 2. Hiyo inashusha presha sana tu. Ikikusaidia usisahau kuniletea mrejesho.
 
Punguza mihemko wakati wa penzika, pia usipanie sana mchezo, relax pengine kabla hamjaanza tendo na mwenzako mpige story kadhaa za maisha yaani mambo nje ya mapenzi ili umzoee then ndo muingie huko. Pia epuka styles zitakazokufanya uutumikishe mwili sana hadi kupelekea mgongo na kichwa kuuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh teh.... Ebwahahahahaaaaa. Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…