Ushauri: Niliyemdhamini katoroka, sasa nimefunguliwa kesi mahakamani

fundysamwely

New Member
Joined
Feb 17, 2025
Posts
1
Reaction score
4
Habari wadau naombeni msaada au ushauri.

Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye thamani isipokuwa mdhamini mmoja so akanambia ana shida na yeye amedhamini watu wengi pale kwahiyo hawawezi kumkopesha hivyo nikamkopee pesa yeye aongeze mtaji kwenye biashara yake, nikamkopea akaanza kurejesha

Siku ya kwanza mpaka akakimbia tukamtafuta tutamkosa sasa mkopeshaji ananidai mimi na mimi ndo niliekopa na pesa ya kumlipa sina.

Niliongea nae nimlipe kidogo kidogo akagoma hivyo amepeleka madai mahakamani, nimeitwa kesho tarehe 18 sijui naanzia wapi na hata kujielezea mahakamani sijawahi

Naombeni msaada wenu wa ushauri nifanyeje au msaada wa sheria naepuka vipi hii ili iwe nafuu kwangu.
 
Mkuu hapo ndio inabidi ujifunze usiwahi kudhamini mtu ambaye humjui kindakindaki labda awe ni ndugu yako wa damu tu na hata huyo ndugu yako wa damu labda awe yuko hospitali kazidiwa na anahitaji dawa hapo sawa ila sio umkopee kwa jambo lingine.
Anyway mimi pia sio mtaalamu sana kwenye mambo ya sheria lakini ninachokijua mdaiwa huwa hafungwi kwa hiyo wewe utakiri tu kwamba ni kweli ulimdhamini mtu na amekimbia kwa hivyo uko tayari kutoa ushirikiano,wakitaka ulilipe deni waambie sawa uko tayari kulipa lakini kwa awamu kidogo kidogo kisha utataja kiwango ambacho utakuwa unalipa kila siku au kila wiki au kila mwezi kutegemeana na uwezo wako.
Baada ya hapo mahakama itasikiliza pande zote
 
Nature ya kesi ni criminal au civil? Kama ni criminal unaipangua vizuri na kama ni civil pia unaipangua. Cha kwanza je alikopeshwa kwa riba au bila riba? Kama ni kwa riba ukifika unayanulify hayo makubaliano maana siamini kama mtu binafsi ana Kibali Cha kukopesha Cha benki kuu. Kama ni hivo tena yeye ndo anafunguliwa kesi ya jinai kwa kufanya biashara ya fedha bila kuwa na Kibali halali.
Huyu jamaa hajamdhamini huyo jamaa yake, yeye ndiye alotiwa ndimu akachukua pesa
 
Habari wadau naombeni msaada au ushauri.

Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye thamani isipokuwa mdhamini mmoja so akanambia ana shida na yeye amedhamini watu wengi pale kwahiyo hawawezi kumkopesha hivyo nikamkopee pesa yeye aongeze mtaji kwenye biashara yake, nikamkopea akaanza kurejesha

Siku ya kwanza mpaka akakimbia tukamtafuta tutamkosa sasa mkopeshaji ananidai mimi na mimi ndo niliekopa na pesa ya kumlipa sina.

Niliongea nae nimlipe kidogo kidogo akagoma hivyo amepeleka madai mahakamani, nimeitwa kesho tarehe 18 sijui naanzia wapi na hata kujielezea mahakamani sijawahi

Naombeni msaada wenu wa ushauri nifanyeje au msaada wa sheria naepuka vipi hii ili iwe nafuu kwangu.
Hapo huna namna ila kulipa, japo je Hawa wakopeshaji Wana Kibali Cha BOT Cha kukopesha? Halafu hapa hajakopa aliyekimbia, umekopa wewe. Makubaliano hayana sehemu yeyote ambayo imeandikwa mkimbiaji, kote kuna jina lako. Acheni ujinga
 
Pole sana. Je huyo aliyewakopesha amesajiliwa na BOT?
 
Huyu jamaa hajamdhamini huyo jamaa yake, yeye ndiye alotiwa ndimu akachukua pesa
Yah ninerudi upya nimekuta hivo. Ni mjinga kwenda kumkopea mtu. Ila Bado je hao wakopeshaji Wana leseni za benki kuu? Na hata wakishinda kama wakati wa kuweka makubaliano hakuna dhamana basi na wao ni wajinga wa mwisho. Lazima mkopo uwe na dhamana, bima Ili akishindwa kulipa itafutwe namna hivo vitu vitumike kulipa.
 
IMG_0622.jpeg
 
Habari wadau naombeni msaada au ushauri.

Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye thamani isipokuwa mdhamini mmoja so akanambia ana shida na yeye amedhamini watu wengi pale kwahiyo hawawezi kumkopesha hivyo nikamkopee pesa yeye aongeze mtaji kwenye biashara yake, nikamkopea akaanza kurejesha

Siku ya kwanza mpaka akakimbia tukamtafuta tutamkosa sasa mkopeshaji ananidai mimi na mimi ndo niliekopa na pesa ya kumlipa sina.

Niliongea nae nimlipe kidogo kidogo akagoma hivyo amepeleka madai mahakamani, nimeitwa kesho tarehe 18 sijui naanzia wapi na hata kujielezea mahakamani sijawahi

Naombeni msaada wenu wa ushauri nifanyeje au msaada wa sheria naepuka vipi hii ili iwe nafuu kwangu.
Nenda mahakamani watakusaidia kupunguza upumbavu ....kwani ujui upumbavu ni ugonjwa....
 
W
Habari wadau naombeni msaada au ushauri.

Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye thamani isipokuwa mdhamini mmoja so akanambia ana shida na yeye amedhamini watu wengi pale kwahiyo hawawezi kumkopesha hivyo nikamkopee pesa yeye aongeze mtaji kwenye biashara yake, nikamkopea akaanza kurejesha

Siku ya kwanza mpaka akakimbia tukamtafuta tutamkosa sasa mkopeshaji ananidai mimi na mimi ndo niliekopa na pesa ya kumlipa sina.

Niliongea nae nimlipe kidogo kidogo akagoma hivyo amepeleka madai mahakamani, nimeitwa kesho tarehe 18 sijui naanzia wapi na hata kujielezea mahakamani sijawahi

Naombeni msaada wenu wa ushauri nifanyeje au msaada wa sheria naepuka vipi hii ili iwe nafuu kwangu.
WEwe siyo mdhamini kisheria weww ni mkopaji
 
Yani wewe na wale wanaotoa hati zao za nyumba kukopea watu hamna tofauti ,umetapeliwa
 
Back
Top Bottom