Nina majanga, mwez wa pili nimesimamishwa. Wanangu nishawakopa sana. Japo kesho nategemea kulipwa na mwajiri baadhi ya visenti ila sina uhakika. Kiukweli sion mtu wa kumkopa chap, ingekua mchana ningefanya kitu. … usiku huu naanzia wapiKwamba unashindwa kupiga simu kwa mshkaji wako at mmoja akuokoe hapo
Kivip sasa,
Siwezi kupigwa mzee wa kazi. Mimi ni mtu maarufu kwenye hii pub tangu inafunguliwa nipo, na wala hawatanikwida. Ila natafta namna ya kulinda heshima…. kuonekana nimeagiza pombe bila hela ndo inanipa tabuJiandae kupigwa pipe kama huna mtu wa kumcheki akukopeshe hela
Anahitaji namba ya huyo mhudumu wake, sasa akionekana anaandikisha simu kuwa bondi ya hiyo chang'aa si ndo atamkosa manzi mazima?Pole weka simu Bondi mkuu
Songesha nishafika bar siwezi kopa. Timiza na kamilisha za mtandao gani mwanangu? Nipe shule niwaibukie. Ila wasiwe wale ambao mwanangu alikopa akachelewesha wakamsambazia meseji anauza tigo ili alipe 25 yaoTimiza, Kamilisha, Songesha na ndugu zao wanakuhusu.
Toa namba nije na askari waliovaa sare tukubebeNatokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji.
Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya kuomba namba nikasema nizuge na Valeur ndogo nina buku tano tu. Sa kaleta Viceroy ndogo na nimechungulia menu hapa bei yake ni 10,000.
Sikujua, kanifungulia na nimeshapiga puff zangu kadhaa hapa ndo nashtuka. Serious, nahtaji ushauri wanangu. Sina issue na namba kabisa nishachanganyikiwa, nataka namna ya kutoka tu. Sina kitu kabisa
Aaah we jamaa na joto la dar nikae mahabusu mzee daaah. Hakuna sehemu hua napawaza kama mahabusu japo wao mandata wakikusweka wanasema wamekuhifadhi mahali salama😂Anzisha vurugu wamekupa kinywaji kimechakachuliwa, komaa hadi wakulipe fidia ya kukunywesha kinywaji feki fanya vurugu aidha watakuachia au mtapelekana polisi unaweza ukalala mahabusu jumatatu unatoka fresh tu bila kulipa chochote
Anahitaji namba ya huyo mhudumu wake, sasa akionekana anaandikisha simu kuwa bondi ya hiyo chang'aa si ndo atamkosa manzi mazima?
Apige simu kwa rafiki, ndugu au jamaa aokoe jahazi kwa muamala
Kiukweli kwa sasa nimesimama kazi nimeshakopa sana sioni mtu wa kumkopa. tena hela ya harakaharaka. Nakula kwa vibarua saidia fundiAnahitaji namba ya huyo mhudumu wake, sasa akionekana anaandikisha simu kuwa bondi ya hiyo chang'aa si ndo atamkosa manzi mazima?
Apige simu kwa rafiki, ndugu au jamaa aokoe jahazi kwa muamala