Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Mimi ni Mwanamke nimeolewa nina watoto wawili,ila kuna huyu house boy anaitatiza sana yaani ananivutia mnoo kwanzia body yake mimi hoi jamani namtamani kwelikweli kila nikimuona nalowa ila mume wangu ndo kikwazo ushauri tafadhali.

From a Friend.
Mapovu ruksa jameni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mume ndo tatizo fanya kum-machame. Baadae mpandishe cheo houseboy. Baadae tena utapata houseboy mwingine then kamchezo kama ka mwanzo kataendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom