Kurutamjanja
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 396
- 374
Wadau,
Naombeni ushauri wenu,
Mm ni Kijana wa 33yrs, nimefanyiwa upasuaji wa tumbo ikiwa ni pamoja na kuondolewa kidole tumbo,(Apendex) ila na utumbo ulikuwa na shida hivyo walinipasua kuanzia juu ya tumbo mpaka chini ya kitovu.
Sasa yapata mwezi mmoja tangu nifanyiwe na nyuzi zimetolewa na kwa nje kidonda kimekauka. Sasa je naweza fanya mapenzi na mke wangu au nitapata madhara?