Ushauri: Nimefanyiwa upasuaji mkubwa, naweza shiriki tendo la ndoa?

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
396
Reaction score
374
Wadau,

Naombeni ushauri wenu,

Mm ni Kijana wa 33yrs, nimefanyiwa upasuaji wa tumbo ikiwa ni pamoja na kuondolewa kidole tumbo,(Apendex) ila na utumbo ulikuwa na shida hivyo walinipasua kuanzia juu ya tumbo mpaka chini ya kitovu.

Sasa yapata mwezi mmoja tangu nifanyiwe na nyuzi zimetolewa na kwa nje kidonda kimekauka. Sasa je naweza fanya mapenzi na mke wangu au nitapata madhara?
 
Subiri subiri upone hata miezi mitatu hivi maana naogopa ukijakumbana na mikikimikiki ya shighuli kidonda kikaaribika tena, pia operation zina tabia ya kupona kwa haraka kwa Nje ila NDANI bado bado,, jifanyie mazoezi mepesi mepesi tu, wife yupo mapenzi yapo na wewe mungu amekuvusha hapo kwenye operation bado upo. Pole sana kwa kuumwa. Nasisitza ujaribu kusubiri km INA uwezekano, subiri pia USHAURI wa madokta wa ukweli mm nimeongelea experience tuu.
 
minimum six weeks ili ni vizuri ukasubiri zaidi ukiweza na ukianza kugegedana bc anza kidg kdg na kwa staili nyepesi zisizoumiza misuli ya tumbo wala kuweza uzito mkubwa tumboni..lkn mwisho kabisa mkuu ungemwuliza daktari wako ulienda kutoa nyuzi..
 
What did ur Dr say !?
I believe he's the one who knows much about was was done to you during the op ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…