Hamad yusuph
Member
- Mar 21, 2024
- 45
- 33
hii ni similuzi niliyoitunga nilpokuwa shuleni Pugu Sec. School yaani ni BOEZ. Ilkuwa mwaka 2020 October baada ya kumaliza form 4 matokeo yangu hayakuwa mazuri kuendelea na advance yaani kidato cha tano.
Basi nilipangiwa chuo cha NIT, kipo Unungo jijini Dar es Salaam nilisomea kozi ya Accounting and Transport Certificate.
Siku ya kuripoti chuoni, maana ilkuwa siku yangu ya kwanza kufika mahala hapo kwa aibu nyingi sana sikuwahi kuzoeana na mtu yoyote. Siku inayofatia niliripoti darasani kwa kuanza masomo chuoni hapo.
Nilifanikiwa kuona sura nyingi kama wanafunzi wa chuoni hapo kwani nilikaribishwa sana na watu wa hapo lakini nilimuona msichana mzuri lakini amepooza (paralysis), kwakweli alikuwa mzuri sana
Masomo yakaendelea lakini macho hayakuacha kumtazama msichana huyo. Nikajisemea moyoni kweli sisi sote ni walemavu wa hapo mbeleni, Mungu hajatuumba perfect.
Basi nilifulah sana na mazingira ya hapo, lakini yule msichana hakuwa na mtu wa kumuanglia.
Je, niendeleze ukaribu naye au nifanyaje?