Peleka kwa mjumbe wako ili mpeleke police!Nimeokota wallet Ina pesa 50k ila ina receipts ya miamala ya 45m na 10m
Tarehe ni siku niliookota, ndani Kuna id za bima nk
Naofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake,!
Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo
Naombeni ushauri
Wallet inakuwaje na mil 10?umeiokotea wapi ,katika mazingira gani?ni wewe tu umeiona?kama kweli msamalia mwema peleka polisiNimeokota wallet Ina pesa 50k ila ina receipts ya miamala ya 45m na 10m
Tarehe ni siku niliookota, ndani Kuna id za bima nk
Naofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake,!
Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo
Naombeni ushauri
Una huakika umesoma alichoandika kweli?Wallet inakuwaje na mil 10?umeiokotea wapi ,katika mazingira gani?ni wewe tu umeiona?kama kweli msamalia mwema peleka polisi
Eeeeeh riziki kugawanaToa hiyo 50, vingine temana navyo,
Wataokota wengine.
Hata akiipeleka polisi, hiyo hamsa polisi watatia kwapani kisha mwenyewe ataitwa aje kuchukua maratasi yake.Usipende kuokota okota kama usipo dakwa basi utarogwa. Nenda polisi itategemea busara za askari.
Hakuna wallet inayoweza kuhifadhi kiasi hicho cha pesa. Millioni 45 labda mkoba.Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo
Naombeni
Tumefikaje hapa!Universe imekupa hela ya chai na wewe unataka kurudisha? Haya.
Mtu anasema wallet ina risiti ya 45m na 10m, kukosa kwako umakini unamzodoaWallet inakuwaje na mil 10?umeiokotea wapi ,katika mazingira gani?ni wewe tu umeiona?kama kweli msamalia mwema peleka polisi
Tenda wema. Mtafute mwenye navyo. Kama kuna business card mtafutie hiyohiyo.Nimeokota wallet Ina pesa 50k ila ina receipts ya miamala ya 45m na 10m
Tarehe ni siku niliookota, ndani Kuna id za bima nk
Naofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake,!
Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo
Naombeni ushauri
daaah! asante😅Hata akiipeleka polisi, hiyo hamsa polisi watatia kwapani kisha mwenyewe ataitwa aje kuchukua risiti zake.
Muhimu hapo chukua hamsa yako, hiyo wallet mpe bodaboda wale wanaovaa ndala moja inaning'inia(vishandu) mwambie apite kituo cha polisi na ukali kisha aitupie kituoni halafu atembee na ukali.